Marafiki Huru Social Network Group

Monday, August 30, 2010

Sam Sasali a.k.a Papaa: Hillsong - Everyday

Sam Sasali a.k.a Papaa: Hillsong - Everyday: "Papaa Sebene"
Posted by Unknown at 4:47 AM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
HIVI SASA NI SAA

Followers

EMAIL ADDRESS

annointedkaka@gmail.com

marafikihuruu@gmail.com



Blogs za Marafiki Huru

  • Daniel Blog
  • Mindset Blog
  • Papaa Blog
  • Sasali blog

VISITORS OF MH

LOCATION

  

IFAHAMU MARAFIKI HURU (MH)

Marafiki Huru tunaamini katika Urafiki Zaidi, Biblia inasema kuna mtu anaambatana na Rafiki zaidi kuliko ndugu¡­..Yesu anawaambia wale Wanafunzi siwahesabu tu kuwa ni Watumwa ila nawaona kama Rafiki. Marafiki Huru hatufungwi na mipaka

Vision ya Marafiki Huru ni ¡“Think Differently, Make a Difference”
Tunaamini Marafiki Huru tuna mawazo Mbadala kwenye Taifa letu, Makanisani Mwetu, Maofisini mwetu, kwenye Familia Zetu hasa katika Jamii inayotuzunguka. We Think Differently and we Make Differences.

Ndo maana tunaamini tunaweza kujenga shule kupitia Watanzania, Tunaamini tunaweza kujenga visima kupitia Watanzania, Tunaamini Maendeleo ya Watanzania yanaletwa na Watanzania na Si vinginevyo. Kwa kushirikiana na Serikali na Kanisa tunabainisha Fursa zilizopo kwenye Taifa letu.
We believe Together We Can.

Think differently and Make a Difference

Our Mission: We Socializing while We are Networking, We want to use every "Clean" open door for the better ment of Tanzanians and this is Possible If and Only If we have a Network Of People.

Tunapenda kujua nani ni nani na anafanya nini. Tunataka tuwe na mawazo chanya katika mazingira yanayotuzunguka. Tunaamini Tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu, tunaamini Tunaweza msomesha mtu tunaamini Tunaweza kumshauri mtu, tunaamini Tunaweza tukajisikia tuko nyumbani katika nchi ya Tanzania;

Marafiki Huru ilianza rasmi Mwaka 2006 kwa Papaa akiwa chuoni na kuanza kuwasiliana na marafiki zake aliokuwa anasoma nao chuo kwa wakati huo. Marafiki Huru imekuwa zaidi kwa sasa kujumlisha si Marafiki Tu wa Chuoni bali wanataaluma Mbalimbali ndani na nje ya nchi. Marafiki hawa wanaamini katika kuleta mabadiliko chanya si ya Kiroho peke yake bali kijamii na hasa Kiuchumi.

We Think Differently and We Make a Difference

Marafiki Huru wakiwa Katika Sports

Marafiki Huru wakiwa Katika Sports
Hapa ilikuw Seke Seke mpira Langoni, Marafiki Huru wakiwa katika Beach Football

Marafiki Huru wakiw

Marafiki Huru wakiw
Rafiki Huru Dr. Lyatuu akiongea na MH (Marafiki Huru) the meaning Of "RELEVANT"

Marafiki Huru Day In Dar Idd Pili

Marafiki Huru Day In Dar Idd Pili
Kutoka Kushoto ni Dr. Edmund Lyatuu, Irene Lyatuu, Salome Matemba na Mary Mary wakiwa katika Marafiki Huru Day in Dar
Travel theme. Powered by Blogger.