![]() |
msikiti wa alzahra ndani ya chuo kikuu zanzibar |
Mwaka jana 28 december makamu wa rais wa chuo cha zanzibar alipiga maarufu mkusanyiko wowote wa kikirsto ndani ya maeneo ya chuo…wakati huohuo kukiwa na misikiti miwili hapo chuoni
Hili limepelekea kukamatwa kwa muunjilisti Peter Masanja mwezi iliyopita mwaka huu…masanja ambaye alipotea ghafla..iligundulika amekamatwa baada ya mkewe kumtafuta kwa siku kadhaa..masanja ambaye ni mkazi paje wa Zanzibar alikamatwa kwa kosa la kufundisha mwafunzi wa kikirsto chuoni wapo
Wanafunzi wa kikirsto wana mpango wa kwenda mahakamani kupinga kunyimwa uhuru wa kuabudu..Chuo hicho kimewatishia kuwafukuza wasichana wa kikirsto kama hawatavaa hijabu
1 comment:
Bwana Yesu asifiwe!
Please, je kuna mtu yeyeyote anayeweza kutujulisha kama Peter Masanja ameachiwa huru?
Nitapenda kufahamishwa kwa savedlema2 at yahoo dot com
Blessings to you.
Post a Comment